Showing posts with label HISTORIA. Show all posts
Showing posts with label HISTORIA. Show all posts

Tuesday, 27 February 2018

MSOMI MKUBWA ROGER BACON

Roger Bacon

Sanamu ya Roger Bacon, OxfordUingereza.
Roger Bacon, O.F.M. (IlchesterSomerset1214[1] - Oxford[2] 1294) alikuwa msomi mkubwa wa mambo mengi kutoka Uingereza.[3]
Kisha kusomea chuo kikuu cha Oxford, alijiunga na utawa wa Ndugu Wadogo (1256). Hapo aliacha kufundisha lakini akaendelea na masomo yake na hata kuandika kuhusu mambo mengi tofauti hadi kifo chake.