Tuesday 7 November 2017

NYOKA MKUBWA



NYOKA MKUBWA DUNIANI AINA YA ANAKONDA WA UREFU WA HATUA ZA MIGUU 26 AONEKANA MTO WA BRAZILI



Wazamiaji wa brazili wanaozamia katika mito iliyomo katika misitu ya Rain Forest iliyopo nchini humo wamefanikiwa kumuona nyoko mkubwa duniani aina ya Anaconda mwenye urefu wa hatua kumi za miguu.Wazamiaji hao ambao wamesema toka waanze kazi hiyo hawajawai kukutana na kiumbe kikubwa na chaajabu kama huyo nyoka .

Wakielezea wazamiaji hao baada ya kumpiga picha Nyoka huyo walisema nyoka huyo walimkuta akiogera kuelekea nchi kavu katika mto huo maarufu kama Rain Forest wamesema nyoka anakadiriwa kuwa na urefu zaidi ya hatua 26 za miguu.





Urefu huo wa Nyoka huyo aina ya Anakonda amevunja record baada ya kuingia katika Record Guiness , kabla ya Nyoka huyo kuvnja Record hizo za Dunia, Nyoka aliepewa jina la world’s longest snake ndio nyoka aliekua anashikilia Record hizo akiwaa naurefu unaokadiriwa wa urefu wa hatua za miguu 25.

Mchambuzi Dennis Magessa

Hapo chini kabisa ni video jinsi walivyokuwa wanamfanyia utafiti

No comments: