Tuesday 3 October 2017

Baraza la mawaziri Tanzania

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.
Baraza hili linaundwa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibarwaziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza bila haki ya kupiga kura.
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.[2]
Serikali iliyopo ilitangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina hadi tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne MaghembePhilip MpangoGerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Chama anachotokaChama Cha Mapinduzi
Baraza la mawaziri la Tanzania: tangu Novemba 2015[3][4][5]
PichaMajukumuJina
John Magufuli 2015.pngRaisi
Amiri jeshi mkuu
Dr. John Magufuli
Samia Suluhu Hassan.jpgMakamu wa RaisSamia Suluhu
Ali Mohamed Shein, September 2014 (cropped).jpgRais wa ZanzibarAli Mohamed Shein
Kassim Majaliwa.jpgWaziri MkuuKassim Majaliwa
No image.svgWaziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
George Simbachawene
Angellah Kairuki.jpgWaziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
Angellah Kairuki
January Makamba 2012.jpgWaziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Masuala ya Muungano, Mazingira
January Makamba
No image.svgWaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
No image.svgWizara ya Kilimo, Mifugo na UvuviMwigulu Nchemba
No image.svgWizara ya Katiba na SheriaDr. Harrison Mwakyembe
Hussein Mwinyi.jpgWizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga TaifaHussein Mwinyi
No image.svgWizara ya Elimu, Teknolojia na UfundiDr. Joyce Ndalichako
Prof muhongo pic.jpgWizara ya Nishati na MadiniSospeter Muhongo
No image.svgWizara ya Fedha na MipangoDr. Philip Mpango
Augustine Mahiga (cropped).jpgWizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na KimataifaAugustine Mahiga
No image.svgWizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na WatotoUmmy Mwalimu
No image.svgWizara ya Mambo ya NdaniCharles Kitwanga
Charles Mwijage.jpgWizara ya Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage
No image.svgWizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na MichezoNape Nnauye
William Lukuvi cropped.pngWizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya MakaziWilliam Lukuvi
No image.svgWizara ya Maliasili na UtaliiJumanne Maghembe
Makame Mbarawa IAEA.pngWizara ya Maji na UmwagiliajiGerson Lwenge
No image.svgWizara ya Ujenzi, Uchukuzi na MawasilianoMakame Mbarawa (alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)
(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
No image.svgMwanasheria Mkuu wa TanzaniaGeorge Masaju

No comments: